• Breaking News

    Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

    It's more about music industry and social issues in and out of bongo land

    Sunday, November 18, 2012

    KERI HILSON NDANI YA JIJI LA DAR ES SALAAM MWEZI UJAO KWA SHOW BAAB KUBWA...!!!




    Tanzania mko tayari kumshuhudia hit-maker wa Knock You Down mrembo Keri Hilson? Kama bado basi mashabiki wake anzeni kuuchanga mdogo mdogo sababu the diva is dropping to the land of Kilimanjaro next month!! We ain’t tripping at all sababu Keri amethibitisha mwenyewe jana habari hizi kwenye ukurasa wake wa Twitter:

    No comments:

    3500K