Rapper Wiz Khalifa ameongelea utofauti
wa mziki na ujumbe kwenye album yake mpya ya O.N.I.F.C ` Only Nigger In
First Class' nakusema itakuwa tofauti na Paper Plane kwasababu ni album
mpya itakayo onyesha kukua kwa Wiz Khalifa, Muziki mpya uliorikodiwa kwa
muda mrefu na umakini zaidi na hapatakuwa na mambo ya uvutaji wa bangi
sana kama inavyokuwa kwenye album zangu zingine.
Monday, November 19, 2012
Home
Unlabelled
KAULI YA WIZ KHALIFA JUU YA ALBAM YAKE....
No comments:
Post a Comment