“Alishaanza hatua ya kwanza ya matibabu, anafanya bidii kwenda kwenye hatua ya pili ya matibabu,
kweli kabisa anafanya bidii na kuhusu taarifa kwamba amepelekwa Iringa kupata matibabu ya kuacha utumiaji wa dawa za kulevya hakuna ukweli wowote, kuna taarifa nyingi za kupotosha ambazo mimi nilikua naomba watu wangeacha kuzisambaza kwa sababu hazisaidii mtu yeyote yule na vilevile zinaendelea kulikuza tatizo” Alisema Boss Ruge:www.filexmmari1994.blogspot.com |
Monday, November 5, 2012
Home
Unlabelled
KAULI YA Ruge Mutahaba KUHUSU HALI YA RAY C
No comments:
Post a Comment