FILEX MMARI:LEO MEDIA NEWZ
star wa filamu wa kifilipino ambaye ameingarisha filamu ya from china with love akitumia jina la aileen,akiwa na vicent kigosi (maarufu kama RAY) fanya mpango uipige jicho bado itakuwepo sokoni,ni kati ya filamu ambazo nilimkubali ray ni pamoja na hii fanya mpango uitafute madukani kama huna sababu utakosa huondo wa filamu hii
ANAITWA AILEEN


No comments:
Post a Comment