Msanii kutoka Tip Top aka Raisi wa Manzese Madee anayefanya poa na ngoma
ya 'Historia' hivi karibuni alikuwa Morogoro kwenye Kituo kimoja cha
kulea watoto Yatima ambako anasema kuwa alienda kuwatembelea na kutoa
asilimia 20 ya kile alichokipata toka Januari.
Kituo hicho cha HOPE kiko katika kijiji cha Makuyuni...Hongera Madee kwa
moyo huo Mwenyezi Mungu akuzidishie na wasanii wengine nao si viabya
mkashare kidogo mnachokipata kwa watu ambao wanahitaji msaada
No comments:
Post a Comment