Huyu ni Mama Mzazi wa Sharo Milionea akiingia Mochwari kuutazama mwili wa mwanae |
Kiongozi toka Serikalini akitoa maelekezo kwa watu waliofika mahali hapo.... |
Msanii aliyekuwa Rafiki kipenzi wa Sharo (Kitare) akiangua kilio Mochwari |
Mama Mkubwa wa Sharo Milionea akilia kwa uchungu... |
Mjomba wa Marehemu Sharo Milionea akimwaga machozi... |
Ndende |
Eneo la Hospitali Teule ya Muweza ulipohifadhiwa mwili wa marehemu |
No comments:
Post a Comment