Chidy Benz
Msikilize Msanii wa muziki wa Kizazi Kipya Chidy Benz anayewakilisha kundi lake la Lafamilia katika Spotlightya Powerjams East Africa Radio ufahamu kuhusu mishemishe alizopitia mpaka kusikika,historia ya maisha yake,tuzo alizonazo,Kundi lake la Lafamilia na wasanii maarufu ambao washapita kwenye kundi hilo, uhusiano wake na Prof Jay uko vipi na kitu gani anataka kufanya katika muziki hivi sasa
Friday, November 9, 2012
Home
Unlabelled
FAHAMU ZAIDI KUHUSU CHIDY BENZ,HISTORIA YAKE NA PROF J,KUNDI LAKE LA LAFAMILIA NA KITU GANI ANATAKA KUFANYA SASA
No comments:
Post a Comment