• Breaking News

    Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

    It's more about music industry and social issues in and out of bongo land

    Friday, November 2, 2012

    BEN POL AHOFIA KUINGIZA SOKONI ALBAM MPYA.

    Photo: BEN POL AHOFIA KUINGIZA SOKONI ALBAM MPYA.

Hitmaker wa Nikikupata 'Ben pol' amesema anahofia kuingiza albam yake mpya sokoni kutokana na albam ya kwanza kutoingiza kile alichokuwa anastail.
"My next albam nitatweka 10 songs, ryt now tayar nina than 10 songs nzuri, lakini biashara ya albam bongo inavyoumiza, naona wacha nisubiri alitweet jana"
Ben pol amesema albam ya kwanza aliyoipa jina la maboma iliyokuwa na nyimbo 10 ilimuingizia si zaidi ya milioni 1.
Amesema mapato mengi ambayo hata hivyo yalikuwa kidogo yaliishia katika mgao kwa watu wengi wakiwemo maproducer wanne waliohusika na kutengeneza nyimbo zake pamoja na menejementi yake.
Kwa sasa anasema kama ni kutoa albm ataitoa kwa ajili tu ya kubaki nayo kama CV ya uwezo wake katika nyinbo anazozifanya ili imsaidie kupata michongo mingi zaidi hasa ya kimataifa na sio kuipeleka kwa wahindi.
Hivi karibuni Ben pol alichukuliwa na producer Lucci na kuwa chini ya label yake Transformax ambako amesema atarekodi nyimbo takribani sita. 
     Hitmaker wa Nikikupata 'Ben pol' amesema anahofia kuingiza albam yake mpya sokoni kutokana na albam ya kwanza kutoingiza kile alichokuwa anastail.
    "My next albam nitatweka 10 songs, ryt now tayar
    nina than 10 songs nzuri, lakini biashara ya albam bongo inavyoumiza, naona wacha nisubiri alitweet jana"
    Ben pol amesema albam ya kwanza aliyoipa jina la maboma iliyokuwa na nyimbo 10 ilimuingizia si zaidi ya milioni 1.
    Amesema mapato mengi ambayo hata hivyo yalikuwa kidogo yaliishia katika mgao kwa watu wengi wakiwemo maproducer wanne waliohusika na kutengeneza nyimbo zake pamoja na menejementi yake.
    Kwa sasa anasema kama ni kutoa albm ataitoa kwa ajili tu ya kubaki nayo kama CV ya uwezo wake katika nyinbo anazozifanya ili imsaidie kupata michongo mingi zaidi hasa ya kimataifa na sio kuipeleka kwa wahindi.
    Hivi karibuni Ben pol alichukuliwa na producer Lucci na kuwa chini ya label yake Transformax ambako amesema atarekodi nyimbo takribani sita.

    No comments:

    3500K