AY, msanidi wa tuzo za Channel o 2012 kupitia video bora ya mwana Africa
ya mashariki "i dont wanna be lonely", FA na msanii maarufu kutoka
Nigeria Jay Martins wana record pinila pamoja huko South Africa.
Jay Martins kashaachia pini kadhaa zilizofanya vizuri kwenye vituo mbali
mbali Africa kama Fine fine love na zinginezo . for more info endelea
kuskilizia hapa hapa...
No comments:
Post a Comment