Jumamosi katika Show ya Serengeti Fiesta Diamond alionyesha kituko
ambacho baadhi ya watu hawakukichukulia vizuri Hii ilikuwa baada ya Show
ya Rick Ross Diamond Alipanda na Wachezo Show Wake na kutoa Show kali
ambapo katika hiyo Show yeye na Madansa wake waliamua kuvua Suruali zao
na kuonyesha Boxer zao kama inavyoonyesha hapo kwenye Picha...Kwa kudai
kuwa wao ni wasafi mpaka ndani ..lakini kitendo hicho kimechukuliwa kuwa
Dimond ni Shoga na wengine kusema ni Ishara za Ufreemanson Hizo ...Hata
mie Hapo bado Sijamuelewa Diamond labda nitajitahidi kumtafuta nipate
maelezo yake kwanini alifanya vile.....
Tuesday, October 9, 2012
Home
Unlabelled
Picha ya Diamond Aliyo Vua Suruali na Kuonyesha Boxer Yachafua Watanzania
No comments:
Post a Comment