Pages - Menu

Thursday, October 18, 2012

JACQUELINE WOLPER KUMUENZI KANUMBA.

Photo: JACQUELINE WOLPER KUMUENZI KANUMBA.

Msanii wa Bongo movie nchini, Jackie wolper amesema atatoa filamu itakayoshirikisha watoto waliokuwa wakiigiza na Kanumba ili kuenzi vitendo vya Kanumba vya kukuza vipaji vya watoto.
Filamu hiyo, iliyopewa jina la "After Death" inaelezea maisha ya marehemu Kanumba baada ya kifo chake.
Baada ya kifo chake?
Tunasubiri tuone..! 

No comments:

Post a Comment