Pages - Menu

Thursday, October 18, 2012

ALICHOSEMA NEY WA MITEGO KUHUSU KAULI ILIYOTOLEWA NA "BASATA".


.
Photo: ALICHOSEMA NEY WA MITEGO KUHUSU KAULI ILIYOTOLEWA NA "BASATA".

Baada ya BASATA kutoa kauli kuhusu wasanii wenye kuimba nyimbo zenye matusi kuchukuliwa hatua na wale wanaovaa nguo zinazokiuka maadili, Ney wa mitego ambaye analalamikiwa na wasanii wa Bongo Movies kwa kuwasema katika nyimbo zake, alizungumzia kuhusu tamko hilo na kusema kuwa "Haelewi BASATA wanataka wasanii waimbeje?". 
 Baada ya BASATA kutoa kauli kuhusu wasanii wenye kuimba nyimbo zenye matusi kuchukuliwa hatua na wale wanaovaa nguo zinazokiuka maadili, Ney wa mitego ambaye analalamikiwa na wasanii wa Bongo Movies kwa kuwasema katika nyimbo zake, alizungumzia kuhusu tamko hilo na kusema kuwa "Haelewi BASATA wanataka wasanii waimbeje?"

No comments:

Post a Comment