• Breaking News

    Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

    It's more about music industry and social issues in and out of bongo land

    Thursday, October 11, 2012

    HII NI VIDEO YA BIBI ALIYEZIKWA AKIWA HAI..

    Bibi mwenye umri wa miaka 95 huko Kenya ambae jumapili iliyopita mwanae wa kiume wa kumzaa anadaiwa kumzika kaburini akiwa hai. Taarifa ya mwisho ya Citizen Tv inasema jana mwili wa ajuza huyo anaedaiwa kuzikwa akiwa hai na jamaa zake umefukuliwa huku kukiwa na dalili kwamba huenda aliuawa na maiti yake kukatwakatwa na kisha kuwekwa kwenye gunia. Ni habari kutoka kijiji cha Ndumba kaunti ya Kirinyaga nchini Kenya, itazame video hapo juu.

    No comments:

    3500K