Najug twamfahamu vema h baba jinsi anavyoondoka na style za dance
katika muziki wa hapa Bongoland mpaka kupelekea mashabiki wengi
kumkubali, siku za hivi karibuni msanii huyu aliamua kufung
uka
na kusema kwamba sasa hivi ana michakato ya kumalizia mipango yake ya
ndoa baada ya hapo ndipo ataanza rasmi kuongea na Fally Ipupa ili
wafanye collabo kwa pamoja katika ngoma mpya.
Lakini h baba hakuweza kueleza kwamba itakuwa ni ngoma gani kwani alisema tu kwamba mashabiki wake wakae mkao wa kupokea kile ambacho anachotaka kukiandaa.
Tunamtakia all the best.
Lakini h baba hakuweza kueleza kwamba itakuwa ni ngoma gani kwani alisema tu kwamba mashabiki wake wakae mkao wa kupokea kile ambacho anachotaka kukiandaa.
Tunamtakia all the best.
No comments:
Post a Comment