Pages - Menu

Tuesday, October 9, 2012

EPL NEWS: RVP KUTOADHIBIWA NA FA


Mshambuliaji wa Timu ya Manchester United, Robin Van Persie hatoweza kukabiliwa na adahabu kutoka kwa Chama cha Soka nchini England kufuatia kumtandika kiwiko mchezaji wa  Newcastle Mfaransa Yohan Cabaye.
Kocha wa The Magpies, Alan Pardew alimtuhumu Van Persie kufanya kosa dhidi ya Cabaye na kuitaka FA imshughulike.
Hii inatokana na mwamuzi wa mchezo huo Howard Webb kuliangalia kosa hilo na kutolichukulia hatua yoyote ile.
Pia FA  imetupilia mbali mipango yake ya kutaka kumpa hukumu Cheikh Tiote dhidi ya Tom Cleverly

No comments:

Post a Comment