Ile collabo ya A.Y na Sean Kingstone iliyokuwa ikisubiriwa kwa muda mrefu hatimaye imekamilika.
Taarifa imetolewa leo kupitia mtandao wa Twitter na promoter wa kimataifa Hemdee Kiwanuka ambaye kampuni yake ya Networkshowbizz husimamia kazi za A.Y.
Msanii wa nchini Jamaika Ms Trinit ambaye alishawahi kufanya collabo na A.Y ataonekana kwenye video ya ngoma ingawa hajashirikishwa.

No comments:
Post a Comment