Gazeti la Amani Front Cover Limeandika Kuwa Biashara ya Ngono yazidi
Kushika Kasi Bongo na Kutaja Bei ya Bidhaa Hiyo yenye Wateja Wengi
....Sehemu Mbali mbali dar es Salaam Hasa Sehemu za Starehe utawakuta
wadada wakiuza Miili ya Pasipo kuwa na Aibu Baadhi ya Sehemu Hizo ni
Kama Corner Bar, Njia Yote ya Sinza kwenda Shekilango, Maisha Club na
Sehemu nyingi za Starehe....Hii Ndio bei :
1.Kwa Babu-Tsh 15,000
2.Uchochoroni-Tsh 10,000
3.Shoti Time-Tsh 15,000
4.Kulala-Tsh 50,000
5.Gest-Tsh 25,000
6.Kwenye Gari-Tsh 20,000
Jamani Ukimwi Unaua Tujihadhari na Haya Mambo Ukishindwa Kabisa Basi Tumia Condom.....
Thursday, October 4, 2012
Home
Unlabelled
Biashara ya Ngono yazidi Kushika Kasi Bongo-Hizi Ndio Bei
No comments:
Post a Comment