Abdu kiba ni msanii wa kizazi kipya ambaye anakuja kwa kasi sana hapa
Tzee hata nje ya
Tzee.Tunafahamu
kwamba msanii huyu ana ngoma nzuri kadhaa ambazo zinafanya vizuri mpaka
mashabiki wa Bongo Fleva wanakubali sana kazi zake.Sasa basi habari
ambayo tumeipata kutoka kwa msanii huyu ni kwamba soon anatarajia
kuachia ngoma mpya inayokwenda kwa jina la
Dunia Mapito ambayo
amemshirikisha kaka yake Ally Kiba.Baada ya kuweka wazi kwamba amefanya
collabo na Ally kiba alieleza sababu zilizomfanya mpaka afanye collabo
na kaka yake alisema kwamba Ally Kiba japokuwa ni kaka yake alifunguka
na kusema Ally kiba anajiamini katika suala la muziki na ndiyo maana
ameamua kumshirikisha katika ngoma hiyo mpya
.Hayo ndiyo maneno ya
Abdu Kiba baada ya kufunguka kuhusiana na ngoma yake mpya inayokwenda
kwa jina la Dunia Mapito.kaa tayari kwa ngoma hiyo mpya ambayo imefanywa
na mtu mzima Abdu Kiba pamoja na kaka yake Ally kiba daaah !!!!!!! sasa
hapa ndipo tutajua je nani mwenye zile....ladha kali za RNB mimi sio
kama ninaleta ushindani Samahani lakini.
No comments:
Post a Comment