MABINGWA kombe la Kagame Yanga wameitandika Coastal
Union ya Tanga katika mchezo wa kujipima nguvu uliopigwa katika dimba la Taifa
jijini Dar es Salaam.
Katika mchezo huo, Coastal ndiyo
ilianza kufunga kupitia kwa Razak Khalfan, kabla ya Salim Aziz wa Coastal
kujifunga na Said Bahanuzi kuiandikia Yanga la pili.
No comments:
Post a Comment