Kundi La Music la Pah one kutoka Tanzania limejikuta matatani baada ya
kukutwa na Silaha za mto wakati wakifanya shooting maeneo ya Sinza,
polisi waliwakatama na kuwepeleka selo ..ila cha kufurahisha ni kuwa
Silaha hizo baada ya kuchunguzwa zilikuwa ni za Bandia ...Kwa sasa
wameachiwa huru kwa dhamana lakini bado wana kesi ya kujibu ya kufanya
shooting kama hiyo bila vibali vya Polisi.
No comments:
Post a Comment