Taarifa maalum kwa wale wote wanaopenda
kutongoza Facebook kwa upande wangu sipendi na sitaki kutongozwa kwa
kuwa nimeolewa tayari na nina miaka miwili sasa toka niolewe so
msijisumbue tafadhari na yeyote atakaye fanya hivyo kuanzia sasa
nitalichukulia jambo hilo kama ni kitendo cha dharau na kublock huyu mtu
ikiwezekana kulianika hadharani jina lake ninawaheshimu wote na
kuwachukulia kama kaka zangu na mashabiki zangu pia, much love!
Tuesday, September 4, 2012
Home
Unlabelled
Mkome kunitongoza FACEBOOK nimeolewa "WITNESZ"
No comments:
Post a Comment