Rais Jakaya Kikwete |
Akiwa White house Dodoma amesema wanaoeneza hayo maneno ni wapinzani wa kisiasa ambapo amesisitiza kwamba uongozi wake hautasikiliza madai hayo na utaendelea kupitisha viongozi kulingana na sifa zinazohitajika.
Kuhusu baadhi ya wagombea kukatwa majina yao kwa madai ya upendeleo amesema hawajapitisha jina hata moja kama ilivyopendekezwa na mikoa na badala yake wanawapitisha wagombea kulingana na ujuzi, elimu na uzoefu ndani ya chama.
Habari hii imetoka www.millardayo.com
No comments:
Post a Comment