Kutoka YMCMB msanii anayefanya vizuri kwenye ladha ya hip hop huyu si
mwingine namzungumzia Dwayne Michael Carter,Jr a.k.a Lil wayne leo
anatimiza miaka 30 toka azaliwe mwaka 1982.Baada ya kutimiza miaka hiyo Lil wayne leo asubuhi aliamu kuandika ujumbe huu kwa mashabiki wake kwa kupitia fan page yake.
Thank u all!!! For he's a jolly good fellow that nobody kan deny.
No comments:
Post a Comment