Producer Fundi Samwel
Producer
Fundi samwel akiwa usanii record akifanya kazi na msanii picha hii ni
kabla ajaondoka nchini Tanzania kwenda kwao nchini swiden.
Producer kutoka studio inayofahamika kwa jina la usanii record namzungumzia
Fundi Samwel.Habari tuliyoipata ni kwamba producer huyu ameenda nchini
kwao sweden sababu alizosema ni kwamba ame miss sana familia yake pamoja
na watu wake pia ana michakato ya kuunganisha wasanii wa kule na wa
huku ili wafanya kazi kwa pamoja.Fundi samwel akuishia tu hapo kwani
alisema kwamba anajua kwamba ameacha project kibao za wasanii hapa Bongo
land kwa hiyo atakacho kuwa anafanya producer huyo ni kwamba atakuwa
anatumia mtandao wa internet kwa kutuma beat huku bongo land Tanzania
halafu wasanii wa hapa bongo wanaifanyia
kazi.Baada ya hapo Tulimuuliza Je unachukua muda gani kukaa huko
swiden.Kwa mujibu wa Producer Fundi samwel alivyosema kwamba atokaa sana
nchini kwao swiden hatakikisha kati ya mwezi wa October atakuwa
amesharudi hapa Tanzania kuendelea na kazi yake ya muziki.Hayo ndiyo
maneno ya producer Fundi Samwel kutoka Usanii record alifunguka na
kuongea hivyo baada ya kwenda nchini kwao Sweden.
chanzo dj fetty.blogspot
No comments:
Post a Comment