Ligi
daraja la kwanza nchini England imeendelea tena jana kwa mechi moja kati ya
Blackpool na Huddersfield kushuhudia Blackpool ikipoteza mchezo huo baada ya
kutandikwa 3-1.
BAO LA SIMON GARYSON
Mchezaji wa zamani wa Huddersfield
Town Simon Garyson aliisawazishia Blackpool katika dakika ya 27 baada ya Lee
Novak kutupia kunako dakika ya 13. James Vaughan alitupia dakika
ya 45 na Oliver Norwood aliifungia Huddersfield katika dakika ya 48.
Ligi daraja la kwanza nchini
England itaendelea tena Jumamosi ya
Septemba 29 mwaka huu.
No comments:
Post a Comment