Baada ya kuuweka wimbo wa Chalii mtoto wa Bibi unaoitwa Dogo Mbumbumbu kumeibuka na maswali mengi sana ni kwamba Chalii ana BEEF na Dogo Janja au? lakini nilisubiri hadi Dogo Janja atoke shule halafu nimuulize hili swali na yeye alifunguka hivi
"Choka huo wimbo ni wazamani sana na aliuimba baada ya MADEE kuandika kitu Facebook kama kuwatukana washkaji so Chalii aliutunga huo wimbo umwendee Madee na sio mimi, na kwanza kwa sasa siishi Kimara hiyo ilikuwa ni zamani na mimi sina Beef na Chalii kwa sababu hata kwenye Birthday yangu alikuwepo na tulikula keki wote iweje niwe na beef nae leo" wimbo wenyewe huu hapa chini msomaji wangu wa ALL ABOUT LIFE na Filex Mmari
Friday, September 28, 2012
Home
Unlabelled
Dogo Mbumbumbu ni wimbo wa zamani "DOGO JANJARO"
No comments:
Post a Comment