Ni
moja kati ya wasanii ambao wanatokea panda za Arusha city huyu si
mwingine namzungumzia Dogo janja.Msanii huyu siku ya tarehe 15 jumamosi
iliyopita alipewa jina la janjaro baada ya kufikisha miaka 18 na mmiliki
wake anayejulikana kwa jina la Ostar Juma na musoma.Kwa hiyo kuanzia
anapenda mashabiki wake wajue kwamba yeye anaitwa Janjaro na wala si
Dogo janja.Hayo ndiyo maneno ya msanii huyu baada ya kufikisha miaka
kadhaa wiki iliyopita Jijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment