Kutoka code za 254 Nairobi hawa si wengine wanafahamika kwa jina la Camp Mulla.Wasanii hawa wamefanya collabo na msanii anayetokea pande za nigeria anafahamika kwa jina la Wiz Kid.Taarifa hii tumeipata baada ya kundi kutoka 254 Camp mulla kuandika katika mtandano wa kijamii unaojulikana kwa jina la Twitter.
Huyu ndiyo msanii ambaye anatokea nchini Nigeria anafahamika kwa jina la Wiz kid amefanya collabo na wasanii kutoka Kenya wanajulikana kwa jina la Camp mulla.
No comments:
Post a Comment