Askari wa kikosi cha kutuliza ghasia FFU mjini iringa,Pasificus Cleophace Simon, mwenye umri wa miaka 23, amefikishwa katika mahakama ya wilaya ya Iringa kwa tuhuma za kumuua kwa kukusudia aliyekuwa mwandishi wa habari wa kituo cha runinga cha Channel ten mkoani Iringa,Daudi Mwangosi.
Thursday, September 13, 2012
Home
Unlabelled
Askari Polisi amefikishwa mahakamani kwa tuhuma za kumuua mwanahabari Da...
No comments:
Post a Comment