• Breaking News

    Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

    It's more about music industry and social issues in and out of bongo land

    Wednesday, August 29, 2012

    NI ZAMU YA JACKLINE WOLPER NA JB WA BONGO MOVIE.

    Akiwa chini ya meneja wake anayefahamika kwa jina la Leah Mwendamsoke a.k.a Lameta mrembo anayetikisa kwenye tasnia ya sanaa ya filamu Jackline sasa amejipanga kutoa kazi zake binafsi kwa taarifa alizozitoa kwa wanyetishaji wa habari. Akizungumzia ujio wake huo alisema kwasasa yuko kwenye hatua za mwisho za kukamilisha filamu yake mpya chini ya kampuni ya JB Production itakayokwenda kwa jina la Malipo ambayo imeongozwa na meneja wake 'Lamata' akiwa
    ameshirikiana na wasanii wengine wakubwa kama Blandina Chagula ‘Johari’, Stanley Msungu ‘Seneta’, Hashim Kambi ‘Ramsey’, Fatuma Makongoro ‘Bi. Mwenda’, Ahmed Ulotu ‘Mzee Chilo, Slim na wengineo. Alifafanua zaidi na kuweka wazi kuwa JB Production ndiyo kampuni itakayokuwa ikitengeneza filamu zake kuanzia sasa na wapenzi wake wasubiri vitu vitamu vya kuelimisha kutoka kwake chini ya kampuni hiyo.

    No comments:

    3500K