Tetesi ambazo zimesambaa pande za kwa Obama ni kwamba sasa mwanadada
Rihanna anatoka na mwanakaka Rob Kardashian ambaye kwa wiki mzima sasa
wanaonekana wakiwa sambamba kwenye maeneo mbalimbali ya starehe zikiwemo
kumbi za burudani na hotel. Jumamosi mwanadada Rihanna alionekana kwenye
maeneo ya Racing huko Burbank California akiwa karibu na Rob ambaye
walikuwa wakicheza wote michezo ya magari wakiwa na rafiki zao wa karibu na
nyakati za usiku pia walionekana pamoja hotelini hali iliyothibitisha kuwa
kwasasa wawili hawa wanatoka kimapenzi.
No comments:
Post a Comment