msanii anayetamba na kibao cha nidanganye danganye yeye na mkewe wamefanikiwa kupata mtoto wa kike jana katika hospital ya St. monica
ambayo ipo maeneo ya tip top manzese katika nyakati za jioni.tulimuliza
Je shetta mtoto wako ungependa kumpa jina gani shetta alifunguka kama
ifuatavyo kusema kweli nitampa jina la kyla kwasababu toka mke wangu anajauzito wangu nilimwambia kama tukifanikiwa kupata mtoto wa kike basi tutampa jina la Kyla.Na
ndiyo maana nimempa jina ilo pia napenda kutoa shukrani kwa mwenyezi
mungu kunipatia mtoto na ndio wasaa wangu wa kuitwa Baba wa familia.hayo
ndiyo maneno ya shetta baada ya kupata mtoto.
No comments:
Post a Comment