Marehemu Mzee James Bukumbi enzi za uhai wake. |
Mipango ya mazishi inafanywa nyumbani kwake Kijitonyama, Barabara ya Sayansi, jirani na Heko Motel, Dar es salaam.
Marehemu atasafirishwa kwenda Mwanza kwa mazishi Jumanne 28/8/2012 na maziko yatafanyika kijijini kwake Bupandwamhela, Sengerema, Mwanza.
Habari ziwafikie ndugu wote wa ukoo wa Bukumbi popote walipo, ndugu wa ukoo wote wa Kapera popote walipo, wananchi wote wa Jimbo la Buchosa, ndugu, jamaa na marafiki wa Shigongo popote walipo.
No comments:
Post a Comment