Wolper na Wema wakionyeshana ubabe.
Wema akipata mawaidha kutoka kwa mwalimu wake Rashid Matumla.
Waigizaji mahiri wa filamu nchini,
Wema Sepetu na Jacqueline Wolper wametoka suruhu katika mpambano wao wa
raundi 2 uliofanyika katika Uwanja wa Taifa jijini Dar e Salaam kwenye
Tamasha la Usiku wa Matumaini. PICHA NA GPL
EMA NA WOLPER KATIKA ALAMA ZA freemason
Kocha wa Wema Sepetu ,Rashidi Matumla akimvua Joho wema kabla ya kupigana
Mabondia ambani ni wacheza filamu maarufu
nchini Wema Sepetu kushoto na Jacklen Wolper wakioneshana ufundi wa
kutupiana masumbwi wajkati wo Tamasha la vMatumaini lililofanyika
jumamosi katika uwanja wa Taifa
Bondia Wema Sepetu akimkimbia mpanzani wake Jacklen Wolper wakati wa mpsambano wao
Refa John Chagu akiwainua mikiono juu mabondia Jacklen Wolper kushoto na Wema Sepetu kuashiria mpambano wao ni droo
Mdau wa mchezo wa Masumbwi Nchini Ibrahimu Kamwe akimwelekeza bondia Wema Sepetu kitu
No comments:
Post a Comment