LIGUE I PRE-SEASON NEWS: LYON WAITANDIKA MONTEPELLIER
OLYMPIQUE LYON imeitandika kwa penati
Montepellier na kuchukua Trophee des Champions kwa penati 4-2 baada ya kumaliza
kwa sare ya 2-2. Mechi hiyo imechezwa katika
uwanja wa Red Bull Arena , katika Jimbo la New Jersey nchini Marekani.
John Utaka alikuwa wa Kwanza kuipatia
bao timu yake ya Lyon katika dakika ya 27, muda mchache tu kabla ya mapumziko B


No comments:
Post a Comment