4. Sasa hii inamaanisha nini sijui, by the way, am completely out, i give no damn to politics.
5. Jamaa anatafutaka kazi kwa ushahidi wa hali ya juu sana, kachoka kunyanyaswa. Daah, jombaaa.
6. Watoto hawa bana sijui wamejuaje..? Kaazi kwenu wazazi kuhakikisha kila kitu kinakwenda sawa hapo nyumbani.
No comments:
Post a Comment