*Kwa steji ni Sultani KING kutoka Zanzibar*, huu ulikuwa usiku wa ZNZ na
Dar ambapo walishushwa wasanii wakubwa nikimaanisha kiumri yaani ma bibi
zetu mmoja kutoka Zanzibar namzungumzia Bibi Kidude na kutoka Dar alikuwa
Bibi Cheka, walisindikizwa na wasanii wadogo na show ilikuwa hot...endelea
kutizama picha
*Kwa steji ni Mabeste*
*kwa steji Bi Kidude akiingia tayari kwa show*
*Bibi Cheka kwa steji na Mh Temba*
* Makomandoo kwa steji*
*Cyrill na Wakacha kwa steji*
Nyandu tozi kwa steji
Young D
No comments:
Post a Comment