Sehemu
ya umati wa wakazi wa Iringa uliofurika jana kwenye uwanja wa Mwembe
Togwa wakati wa utambulisho wa huduma mpya ya airtel Supa5 yenye lengo
la kutoa huduma tano nafuu za huduma za mawasiliano kupitia
Airtel.huduma hiyo itatambulishwa hivi karibuni katika mkoa wa Arusha na
baadaye jijini Mwanza.Airtel Jiunge na Supa
Mmoja
wa Mwanamazingaombwe wa mjini Iringa aliyejitambulisha kwa jina la
Almas a.k.a Afande Sele akionesha akadabla akadabla zake mbele ya umati
wa wakazi wa Iringa waliojitokeza kwa wingi jana jioni kwenye uwanja wa
Mwembe Togwa,mjini Iringa wakati wa utambulisho wa huduma mpya ya
airtel Supa5 yenye lengo la kutoa huduma tano nafuu za huduma za
mawasiliano kupitia Airtel.huduma hiyo itaendelea kutambulishwa tena
katika mkoa wa Arusha na baadaye jijini Mwanza
wasanii
chipukizi wa muziki wa bongofleva,Aston Mpiluka (kulia) na James
Shonga wakishindana kughani mbele ya umati wa wakazi wa Iringa
waliojitokeza kwa wingi jana jioni kwenye uwanja wa Mwembe Togwa,mjini
Iringa wakati wa utambulisho wa huduma mpya ya airtel Supa5 yenye lengo
la kutoa huduma tano nafuu za huduma za mawasiliano kupitia
Airtel.huduma hiyo itaendelea kutambulishwa tena katika mkoa wa Arusha
na baadaye jijini Mwanza.
Ilizinduliwa
kwa mara ya kwanza jijini Dar es Salaam hivi karibuni.Ukitaka kujiunga
na huduma hiyo ANDIKA SMS YENYE NENO ‘WIKI’ AU WIKI UTUME KWENDA
15548
Wakazi
mbalimbali wa mjini Iringa wakiendelea kuhamia Airtel na kujipatia
huduma mbalimbali zilizokuwa zikipatikana wakati wa utambulisho wa
huduma mpya ya airtel Supa5 yenye lengo la kutoa huduma tano nafuu za
huduma za mawasiliano kupitia Airtel kwa wateja wake.
No comments:
Post a Comment