Wakali
wawili ambao walikuwa napoteza sana kwa ngoma zao kutoka studio za B
Hits chini ya Hermy B ambao kwa kipindi cha takribani miezi sita hivi
hawako tena kwenye lebo hiyo wameweza kuweka wazi mapema wiki hii
kwanini hawafanyi tena kazi na studio hizo. Wakiongea na Amplifaya
wakali hao walithibitisha kutokufanya kazi tena na studio hizo huku
wakiweka wazi kuwa kupanda kwa gharama za kurekodi ndani ya studio hizo
ndio kikubwa kilichowafanya wakimbie ndani ya
studio hizo na wala hawana tofauti na mmiliki wa studio hiyo
Tuesday, June 12, 2012
Home
Unlabelled
FAHAMU KILICHOWAKIMBIZA AY NA MWANA FA KUTOKA B_HITS!
No comments:
Post a Comment