MCHEZAJI*Patrick Mafisango wa timu ya simba ya Dar es salaam amefariki Dunia leo kwa ajali ya gari eneo la Tazara jijini Dar es salaam.Taarifa ambazo zimetolewa kutoka klabu ya simba ,zimesema Mafisango amefariki dunia asubuhi kwa ajali ya gari,maeneo ya Tazara .Alikuwa akijaribu kmkwepa mwendesha pikipiki na gari kutumbukia mtaroni.filexmmari1994.blogspot.com.
No comments:
Post a Comment