• Breaking News

    Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

    It's more about music industry and social issues in and out of bongo land

    Wednesday, May 16, 2012

    my image

    Kwa majina naitwa Filex Mmari mimi kwetu ni kilimanjaro,but kwa sasa nipo musoma ninaishi na wazazi wangu wote hapo musoma,Familia yangu ina jumla ya watoto wa kiume wawili (2) na wakike mmoja (1).,kwangu mimi ni mtoto wa pili wa kiume,napenda sana kuwa jounalism na ndio malengo yangu siku moja nije kuwa mwandishi au mtangazaji wa Tv au Redio.mimi ni mchaga. itakuwa pouwa sana kama ukijiunga kwenye hili blogspot ukiwa member. lov all so much.

    No comments:

    3500K