Trump ashinda jimbo la Montana Mgombea wa Republican Donald Trump ameshinda jimbo la Montana. Jimbo hilo lina kura 3 za wajumbe. Clinton sasa ana jumla ya kura 104 za wajumbe na Trump 140. Trump 'ana nafasi nzuri' - New York Times Gazeti la New York Times, ambalo limekuwa likiunga mkono Hillary Clinton, linasema mfumo wake wa kompyuta kwa sasa unabashiri uwezekano wa Trump kushinda kuwa 53%. Louisiana kwenda kwa Trump ABC News wanakadiria kwamba Donald Trump atashinda jimbo la Louisiana.
Wednesday, November 9, 2016
Home
Unlabelled
Matokeo Ya Marekani Live: Donald Trump 244, Clinton 209

No comments:
Post a Comment