• Breaking News

  Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

  It's more about music industry and social issues in and out of bongo land

  Thursday, September 29, 2016

  Hainaga Ushemeji Afande Laivu na Mke Wa Mdogo Wake Gesti


  DAR ES SALAAM: Wimbo wa msanii wa Singeli, Man Fongo wa Hainaga Ushemeji ndiyo habari ya mjini kwa sasa ambapo mashairi yake hivi karibuni yalitimia kufuatia askari wa Gereza la Ukonga jijini hapa, Kassim Juma kudaiwa kunaswa chumbani gesti akiwa na mke wa mdogo wake aliyejitambulisha kwa jina la Haroub, aitwaye Rukia Clemens, Amani lilidokezwa na kuibukia kwenye tukio. Ishu hiyo yenye viashiria vya kusambaratisha ukoo, ilijiri Septemba 26, mwaka huu kwa maana ya Jumatatu iliyopita, kwenye chumba namba nne cha gesti iliyopo Ukonga ya Majumba 6, Dar.
  Post a Comment
  3500K