• Breaking News

    Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

    It's more about music industry and social issues in and out of bongo land

    Saturday, January 2, 2016

    Wema Sepetu amdiss Diamond kwa namna isiyo rahisi kuijua!



    Si unajua kuna lile sakata la jina Simba ambalo Diamond amekuwa akilitumia na Mr Blue hivi karibuni kudai alilianzisha yeye? Na sasa issue hiyo inaenda mbali zaidi. Wema ametumia Instagram kuingia pia kwenye issue hiyo katika njia ambayo inaishia kuwa dongo kwa ex wake. “Watu walikuwa wanasubiria na mimi nitaje jina langu la mnyama… Mi ni Mnyama Ndio na Jina Langu ni WEMA SEPETU…. Gnyt Y’all…. Langu mwenyewe hilo…. Ila Balozi Kasema…. hihihihihi,” aliandika Wema. Bila shaka bado hujaiona diss! Acha tukusanue.

    No comments:

    3500K