Msanii wa *Bongo Fleva* anaye hit na ngoma yake ya *NANA, **Diamond
Platnumz* yupo *Nigeria *kwenye ziara aliyo iita *#NanaMediaTour* kwa
kusudio la kuzungua vyombo vya habari vya *Nigeria* kwaajili ya kutangaza
ngoma yake ya *NaNa *aliyo mshirikisha *Mr Fleva* msanii wa nchini humo.
Hizi ni baadhi ya picha zikimuonyesha akiwa kwenye vituo ciwili vikibwa vya
radio nchini humo, Kituo cha *Naija FM* na *The Beet FM*.
To the extent possible under law,
Filex Mmari
has waived all copyright and related or neighboring rights to
blog.
This work is published from:
Tanzania, United Republic of.
No comments:
Post a Comment