• Breaking News

    Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

    It's more about music industry and social issues in and out of bongo land

    Wednesday, December 10, 2014

    VIONGOZI WA CHADEMA KAHAMA WATEKWA NA MAJAMBAZI WAKITOKA KUFANYA MIKUTANO

    MWENYEKITI WA CHADEMA WILAYA YA KAHAMA JUMA PROTAS. Msafara wa viongozi na wanachama wa chama Demokrasia na Maendeleo Chadema wa Kanda ya ziwa Magharibi wametekwa na watu wanaodhaniwa kuwa ni majambazi wakati wakitoka kwenye mkutano wa uzinduzi wa kampeni za serikali za Mitaa kata ya Bulyanhulu wilayani Kahama mkoani Shinyanga. Akizungumza na waandishi wa habari Mwenyekiti wa Chadema wilaya ya Kahama

    No comments:

    3500K