• Breaking News

    Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

    It's more about music industry and social issues in and out of bongo land

    Thursday, December 11, 2014

    LULU AMUWAHI IDRIS



    *ACHANA* na watu kibao waliojitokeza mitandaoni na kudai wana undugu na mshindi wa Shindano la Bigbrother Hotshot (2014), Idris Sultan (21), mwigizaji Elizabeth Michael ‘Lulu’ ndiye mtu wa kwanza kabisa kujinadi kuwa na urafiki na mshindi huyo aliyejinyakulia zawadi ya shilingi milioni 510. *Mwigizaji wa filamu Bongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ akiwa na Idris.* Idris ambaye alinyakua kitita hicho nchini Afrika Kusini wikiendi iliyopita, aliwasili jana nchini na kupokelewa na Wabongo wengi ambao walimpongeza kutokana na ushindi huo alioupata baada ya kuwagaragaza washiriki saba wa nchi

    No comments:

    3500K