Msanii katika Kiwanda cha Filamu Nchini Tanzania Baturi amefunguka na
kutoa ya moyoni kwa Wasanii na Raia wengine ambao kazi yao ni kujiremba na
kujipodoa Pindi waendapo katika Misaba,kwani amefananisha hali hiyo ni
sawa na Kwenda kuuza Sura wakati wenzako wapo katika Kipindi Kigumu.
No comments:
Post a Comment