• Breaking News

    Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

    It's more about music industry and social issues in and out of bongo land

    Thursday, January 17, 2013

    MAAJABU.....HUYU ndo MGOMBEA URAISI ALIYE JICHORA TATOO MWILI MZIMA



    Vladimir Franz ni mmoja kati ya wagombea tisa wa kiti cha Urais Jamhuri ya Czech ambaye asilimia 90 ya mwili wake umechorwa 'tattoo'. Pamoja na hilo kura za maoni zimempa 11.4% ya kura zote ambapo amekua ni mgombea wa tatu kati ya wagombea hao 9. Franz mwenye umri wa miaka 53 ana shahada ya sheria, ni profesa wa fani ya maigizo pia ni mchoraji. Franz alisema kuwa 'tattoo' ni jambo lake binafsi, halina uhusiano na kugombea kiti cha Urais. Pia ushindani wa kiti cha Urais siyo shindano la urembo.

    No comments:

    3500K