• Breaking News

    Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

    It's more about music industry and social issues in and out of bongo land

    Tuesday, January 22, 2013

    LINEX KUTOA NGOMA AMBAYO AMEIMBA KWA LUGHA TOFAUTI TOFAUTI 4


    Msanii Linex ambaye anatamba na ngoma ya 'Aifola' amesema yuko mbioni kuachia ngoma yake mpya ya mwaka 2013 ambayo humo ndani ameimba kwa lugha 4 tofauti tofauti.Linex alisema kuwa ngoma hiyo mpya ameimba kwa lugha ya Kiswahili,Kiha,Kiganda na Kiingereza.Linex alisema kuwa ngoma hiyo imefanywa na Fundi Samwel ambaye kapiga mixing huko Sweden na vocal amefanya na Tudd Thomas.Linex alisema kuwa pamoja na kwamba Produza Fundi Samwel hayuko nchini lakini aliingia mkataba nae wakufanya nae kazi na alisaini kabla produza huyo hajaondoka kurudi kwao Sweden.

    No comments:

    3500K